Maziwa ya kwanza ya Mama baada ya kuzaa (colostrum) yana kinga ya kumlinda mtoto mchanga dhidi ya magonjwa.
Maziwa ya kwanza ya Mama baada ya kuzaa (colostrum) yana kinga ya kumlinda mtoto mchanga dhidi ya magonjwa. Mkusanyiko wa protein kwenye colostrum (maziwa ya kwanza ya mama) ni mkubwa zaidi kuliko kwenye maziwa ya kawaida.