Semina kwa vijana kuhusu maambukizi ya VVU na UKIMWI
MATUKIO Mbalimbali katika picha yakionyesha sehemu ya wahudhuriaji wa semina ya uelimishaji vijana juu ya maambukizi ya HIV na UKIMWI yaliyoandaliwa na Taasisi ya myservice @myservicedigital na @mdh_tanzania ,eneo la Sinza mpakani A ,maeneo ya Africa sana jijini Dar es salaam